Mercy Masika – Mwema Lyrics mp3

Download mp3

Play Audio

Mwema Lyrics – Mercy Masika

[Verse 1]
Kwako mwana ukamtuma
Duniani kisa na maana
Nipate uzima
Jamani
Kwako mwana ukamtuma
Duniani kisa na maana
Nipate uzima
Jamani

mema [Pre-Chorus]
Ishara kwamba unanipenda zaidi
Hivohaelewa sifa nitakupa zaidi
Ishara kwamba unanipenda zaidi
Hivo nishaelewa sifa nitakupa zaidi

[Chorus 1]
Na siwezi jizuia
Kusema wako wema
Na sio kama najigamba
Umenitenda mema
Na siwezi jizuia
Kusema wako wema
Na sio kama najigamba
Umenitenda mema
Umekuwa mwema kwangu

[Verse 2]
Umenitoa gizani nilipokuwa nimeshikwa mateka
Ukanipa tumaini kwako nikajificha
Sasa nitakupa nini iwe sawa na yale umetenda
Hakuna ila moyoni sifa nitakuimbia
Nilikugharimu msalabani unifie
Hivo inanibidi sifa nikuimbie
[?] niseme ili na wengine wakujue
Wote waungane nami na wazee ishirini na nne

[Chorus 2]
Na siwezi jizuia
Kusema wako wema
Na sio kama najigamba
Umenitenda mema
Whoa na siwezi jizuia
Kusema wako wema (whoa)
Na sio kama najigamba
Umenitenda mema
Umekuwa mwema (kwangu)

[Bridge]
Wacha niringe
Umekuwa mwema (kwangu)
Ooh Yaweh oh ooh (kwangu)
Ooh umenitendea aah aah (kwangu)
Wacha niimbe

[Chorus 3]
Siwezi jizuia
Kusema wako wema
Na sio kama najigamba
Umenitenda mema
Whoa, na siwezi jizuia
Kusema wako wema (whoa)
Na sio kama najigamba
Umenitenda mema
Ooh,na siwezi jizuia
Kusema wako wema
Na sio kama najigamba
Umenitenda mema
Whoa, na siwezi jizuia
Kusema wako wema, Yesu (whoa)
Na sio kama najigamba
Umenitenda mema
Siwezi jizuia!

Mercy Masika – Mwema Lyrics mp3

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *