Zuchu – Nyumba Ndogo Lyrics

Download mp3

Play Audio

Nyumba Ndogo Lyrics – Zuchu

[Verse 1]
Ooh Nkupe Taarifa Mwenzangu Uuh Uuh
Yamenifika Kwa Koo
We Mwanamke Mwenzangu Uuuh Uuh
Sema Oooh Oh Oh Nkupe Taarifa Mwenzangu Uuh Uuh
Yamenifika Kwa Koo
We Mwanamke Mwenzangu Uuh Uuh
Bwanako Analalamika Kila Akija Nyumbani
Eti Hujui Kupika Kula Kwako Hatamani
Kwangu Kalipenda Tembele Toto Lainy Lainy
Shoga Umenyimwa Upole Tajiri Wa Kisiranii
Na Samahanii Samahani
Mwanzoni Sikujitambulisha Mimi Nanii
Mie Ndo Mke Mwenzio A.K.A Nyumba Ndogo
Tena Nimemganda Mumeo Kama Kichwa Na Kisogo

[Chorus]
Aah Sina Ubayaa Sina Ubaya Nawee
Aah Ukinichukiaaa Wanionea Buree
Ahh Sina Ubaya Sina Ubaya Nawee
Mke Mwenza Ukichukiaa Wanionea Buree
Oo Sina Ubayaa Sina Ubaya Nawee
Ukinichukiaaa Wanionea Buree

[Outro]
Twendee Nache Nache Nache Nache Nache
Huu Mchezo Wa Kichina Zungusha Kiuno Cheko
We Kichina Zungusha Kiuno Chako
Kama Shepu Huna Pambana Na Hali Yako
Kama Huna Pambana Na Hali Yako Nasema Masha Zungusha We Zungusha
Sasa Wanjara Zungusha We Zungusha
Khadija Kopa Zungusha We Zungusha
Mama Dangote Zungusha We Zungusha Mamaa
Hahahaha AAAA AAAA AAAA
We Kama Mzuka Umepanda Twende Mpaka Chini
Eti Nani Sijamtaja Aje Acheze Na Mimi
Na Kama Mzuka Umepanda Twende Mpaka Chini
Eti Nani Sijamtaja Aje Acheze Na Mimi
Twende Changamkeni Changamkeni Changamkeni
Apo Kati Changamkeni Changamkeni Changamkeni
Na Kulia Cchangamkeni Changamkeni Changamkeni
Kushoto Changamkeni Changamkeni Changamkeni Mamaaaaa Haaaa
Twende Nache Nache Nache Nache Nacheza Aah
Nasema Aii Mmama Aii Mama
Aii Mama Aii Mama Weee
Andaa Besee Andaa Bese
Andaa Bese Andaa Bese Twende
Mama Andaa Besee Andaa Besee
Andaa Bese Andaa Bese Twende
Utajijua Mwenyewe Utajijua Mwenyewe
Utajijua Mwenyewe Utajijua Mwenyewe

Zuchu – Nyumba Ndogo Lyrics

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *