Evelyn Wanjiru – Mungu Mkuu mp3

Download mp3

Play Audio

Mungu Mkuu Lyrics – Evelyn Wanjiru

Yaweeeh
Eee iyee iyeee
Unabaki kua Mungu pekee. yaweeeh

Zaidi ya yote, , utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega, , hubadiliki kamwe…
Zaidi ya yote, , utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega, , hubadiliki kamwe…
Zaidi ya yote, , utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega, , hubadiliki kamwe…

Nikitazama nyuma na mbele, , naona ukuu wako. Kaskazini kusini pia, ,
Naona ukuu wako. Magharibi nako mashariki pia ee, , naona ukuu wako

Zaidi ya yote, , utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega, , hubadiliki kamwe…
Zaidi ya yote, , utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega, , hubadiliki kamwe…

Hakuna mkamilifu katika wanadamu iyee, ,
Zaidi ya ee weh Mungu wangu Mungu wangu… Kila goti lipigwe, ,
Kila ulimi ukiri, , kuwa wewe ni Mungu pekee, , pekee, , weewee

Zaidi ya yote, , utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega, , hubadiliki kamwe…
Zaidi ya yote, , utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega, , hubadiliki kamwe…

Umenipigania, , vita vikali. Hadi mimi singeweza, , peke yangu.
Maadui waliniandama, ,
Lakini ukawatawanya, , kwa njia sabaa… Usifiiwe… Uabudiwe

Zaidi ya yote, , utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega, , hubadiliki kamwe…
Zaidi ya yote, , utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega, , hubadiliki kamwe…

Unabaki kuwa, , MUNGU TU. anabaki kuwa,
, MUNGU TU Na kwa wakamba, , MUNGU TU.

Na kwa waturkana, , MUNGU TU.
Hata wakisii, , MUNGU TU.
Hata waluo, , MUNGU TU.
Na kwa wamasaii, , MUNGU TU.
Na kwa wakalenjin, , MUNGU TU.
Eeeyeye MUNGU TU.
Na mijikenda, , MUNGU TU.
Unabaki kuwa, , MUNGU TU.
Na kwa wazungu, , MUNGU TU.
Afrika yote, , MUNGU TU.
Dunia yote, , utabaki kua Mungu mkuu.
MUNGU TU

Zaidi ya yote, , utabaki kua Mungu mkuu.
Alfa na omega, , hubadiliki kamwe…
Zaidi ya yote, , utabaki kua Mungu mkuu.

Evelyn Wanjiru – Mungu Mkuu mp3

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *