Joel Lwaga – Pendo mp3

Download mp3

Play Audio

Pendo Lyrics – Joel Lwaga

Hee
Hee
Hee
(Ni nguvu yangu mi)

Kutoka ule moyo uliovunjika vipande
Mmh huzuni, machozi, na kukatishwa tamaa
Sasa nakamilishwa, katika furaha ya pendo lako

Lililo kamilifu kwa kumtoa mwanao pekee
Pendo lisilo na kikomo, pendo lisilo na kipimo
Pendo lisilo na malipo ya nguvu zangu, say
Umeziba ufa wa huzuni kwa theluji ya furaha

Acha nikuimbie wewe
Eeh eeh eh
Pendo lako eh
Furaha yangu eh
Furaha yako
Ni nguvu yangu mi eh

Pendo lako eh
Furaha yangu eh
Furaha yako
Ni nguvu yangu mi eh

Nilijaribu kwingine, nilichoambulia
Ni maumivu tuu
Upendo ule mwingine, ni wa muda
Na umejawa usaliti tu

Ukachukua mzigo wangu mzito
Na ukanipa wako mwepesi eeh
Ukachukua nira yangu ngumu,
Na ukanipa yako laini eeh

Pendo lisilo na kikomo
Pendo lisilo na kipimo
Pendo lisilo na malipo ya nguvu zangu, say
Umeziba ufa wa huzuni kwa theluji ya furaha aah

Acha nikuimbie wewe eh
Pendo lako eh (pendo lako)
Furaha yangu eh
Furaha yako
Ni nguvu yangu mi eh

Say pendo lako
Pendo lako eh (pendo lako)
Furaha yangu eh (furaha yangu)
Furaha yako (hey)
Ni nguvu yangu mi eh

Pendo lisilo na kikomo
Pendo lisilo na kipimo
Pendo lisilo na malipo ya nguvu zangu
Umeziba ufa wa huzuni kwa theluji ya furaha
Acha nikuimbie wewe
Eeh eh eh

Pendo lako eh (pendo lako)
Furaha yangu eh (furaha yako)
Furaha yako
Ni nguvu yangu mi eh (ni nguvu yangu)

Pendo lako eh (pendo lako)
Furaha yangu eh (furaha yako)
Furaha yako
Ni nguvu yangu mi eh (ni nguvu yangu)

Eeh eh (Eh, eh)
Say eeh, eh (Eh, eh)
Eeh, eh (Eh, eh)
Ni nguvu yangu mi (Ni nguvu yangu mi)

Eeh eh (Eh, eh)
Say eeh, eh (Eh, eh)
Eeh, eh (Eh, eh)
Ni nguvu yangu mi (Ni nguvu yangu mi)

Eeh eh (Eh, eh)
Say eeh, eh (Eh, eh)
Eeh, eh (Eh, eh)
Ni nguvu yangu mi (Ni nguvu yangu mi)

Eeh eh (Eh, eh)
Say eeh, eh (Eh, eh)
Eeh, eh (Eh, eh)
Ni nguvu yangu mi (Ni nguvu yangu mi)

Joel Lwaga – Pendo

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *