Joel Lwaga – Sitabaki Nilivyo mp3
Sitabaki Nilivyo Lyrics – Joel Lwaga
Maisha haya, ninapita tu
Hali hii ya sasa ni kwa muda tu
Ushindi wangu, U karibu nami
Mtetezi wangu, yu hai
Sitabaki kama nilivyo
Sitabaki kama nilivyo
Sitabaki kama nilivyo
Sitabaki kama nilivyo
Silalamiki, wala sikufuru
Najua ni darasa napitishwa
Imani yangu ipo kwenye kipimo
Najua nitapita tu
Sitamani za wengine wala sijilinganishi
Najua wakati wangu upo
Siogopeswhi na mapito ninayoyapitia
Namwamini yule aliyeruhusu nipite
Sitabaki kama nilivyo (sitabaki kama nilivyo)
Sitabaki kama nilivyo (sitabaki kama nilivyo)
Sitabaki kama nilivyo (kweli sitabaki kama)
Sitabaki kama nilivyo (hali hii ni ya muda)
Sitabaki kama nilivyo (hali hii hapa napita tu)
Sitabaki kama nilivyo (kuna mahali nakwenda, Eeeh sitabaki kama…)
Sitabaki kama nilivyo (sitabaki kama nilivyo)
Sitabaki kama nilivyo (nilivyo)
Mtetezi wangu yu hai ((yu hai)
Yu hai (yu hai)
Yu hai (yu hai)
Eeeh mtetezi wangu yu hai ((yu hai)
Yu hai (yu hai)
Yu hai (yu hai)
Hey mtetezi wangu yu hai ((yu hai)
Anaishi (yu hai)
Yu hai (yu hai)
Sitabaki kama nilivyo (nilivyo)
Mtetezi wangu yu hai ((yu hai)
Yu hai (yu hai)
Yu hai (yu hai)
Hey mtetezi wako yu hai (yu hai)
Yu hai ((yu hai)
Yu hai (yu hai)
Kweli mtetezi wangu yu hai (yu hai)
Yu hai (yu hai)
Yu hai (yu hai)
Sitabaki kama (nilivyo) (Sitabaki kama)
Sitabaki kama nilivyo (kweli nitashinda tu)
Sitabaki kama nilivyo (siumii na hali hii)
(Nafurahishwa na ile ijayo)
Sitabaki kama nilivyo (hey kama, sitabaki hivi)
Sitabaki kama nilivyo (kweli sitabaki kama)
Sitabaki kama nilivyo (giza huwa nene alfajiri)
Sitabaki kama nilivyo (asubuhi yangu yang’aa)
Sitabaki kama nilivyo (kweli nitainuka tu)
Sitabaki kama nilivyo (bwana yuko nami nilivyo)
Joel Lwaga – Sitabaki Nilivyo