Joel Lwaga – Yote Mema mp3

Download mp3

Play Audio

Yote Mema Lyrics – Joel Lwaga

Ah mema
Ah mema
Ah mema
Ah mema
Ah mema
Ah mema
Ah mema
Ah mema

Ni rahisi kukusifu
Wakati wa mazuri
Ni rahisi kukushukuru
Yanapotokea mema
Ila ni ngumu kuamini
Kuwa hata na magumu
Nawe Mungu umeyaruhusu
Kwa kuniwazia mema
Umeruhusu mazuri
Nifurahi tena nikushukuru
Na mabaya ili niwe hodari
Na tena nikusifu
Mbele umeniwekea fahari
Haya ni ya muda tu
Macho yangu yatazama mbali
Uliko utukufu

Yote mema
Yote mema

Hata magumu yana sababu
Yote mema, yote mema
Sitalaumu, sitakufuru

Sasa nimejua kuwa
Wewe uliyenipa samaki
Ndiwe pia umetaka wakati mwingine Nipate nyoka
Tena nimejua kuwa wewe
Uliyenipa mkate
Ndiwe pia umetaka
Wakati mwingine nipate jiwe
Umeruhusu mazuri
Nifurahi tena nikushukuru
Na mabaya ili niwe hodari
Na tena nikusifu
Mbele umeniwekea fahari
Haya ni ya muda tu
Macho yangu yatazama mbali
Uliko utukufu

Yote mema
Yote mema

Hata magumu yana sababu
Yote mema, yote mema
Sitalaumu, sitakufuru

Nimejifunza kuwa na shibe tena
Nimeju kuwa na njaa tena
Kuwa nacho hata kutokuwa nacho
Najua yote yanafanya kazi
Ili kunipatia mema)
Yamefanyika kama ngazi iiamini kupanda

Yote mema
Yote mema

Hata magumu yana sababu
Yote mema, yote mema
Sitalaumu, sitakufuru

Yote mema
Yote mema

Hata magumu yana sababu
Yote mema, yote mema
Sitalaumu, sitakufuru

Yote mema
Yote mema

Hata magumu yana sababu
Yote mema, yote mema
Sitalaumu, sitakufuru

Mema ni mema
Mema ni mema
Mema ninashukuru kwa yote
Mema ninaiona sababu
Mema ya magumu pia
Mema nakushukuru kwa mazuri pia
Mema

Joel Lwaga – Yote Mema

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *