Joel Lwaga – Nafasi Nyingine mp3

Download mp3

Play Audio

Nafasi Nyingine Lyrics – Joel Lwaga

Difficult but very possible…
Mmh mmh mmh
Mavumbi umenifuta yote
Habari umebadili yote
Machozi umenifuta yote
Aibu umeondoa yote
Mmh

Umeniita mwana
Niliyekuwa mtumwa
Umenisimamisha katika wingi wa neema
Na umeniketisha mahali pa juu sana
Ninaucheka wakati uliopita
Nikiufurahia ule ujao
Ninaucheka wakati uliopita
Nikiufurahia ule ujao

Maana umenipa
Nafasi nyingine
Umenipenda tena bila kukoma
Nafasi nyingine
Neema yako imeniinua tenah
Nafasi nyingine
Umenipa tena bila kuchoka
Nafasi nyingine

Mungu wa neema (wa neema)
Ahaaaaa.
Wa neema(uuuuh wa neema)
Aaaaah
Wa neema(wa neema)
Aaaah
Wa neema (wa neema)
Aaaaah

Madaktari walisema sitapona tena
Walimu walisema nitafeli
Ndugu na jamaa walisema nimeshindikana
Na kumbe wewe waniwazia mema
Umri uliposogea walisema ndoa sio fungu langu
Nilipofiwa na mpendwa Yule walisema sitaweza tenah
Baada tu ya kufilisika sikumwona wa kuniombea
Na kumbe ndani yao walifurahia niliyopitia
Ninaucheka wakati uliopita
Nikiufurahia ule ujao
Ninaucheka wakati uliopita
Nikiufurahia ule ujao

Maana umenipa
Nafasi nyingine
Umenipenda tenah bila kukoma
Nafasi nyingine
Neema yako imeniinua tenah
Nafasi nyingine
Umenipa tenah bila kuchoka
Nafasi nyingine

Mungu wa neema (Wa neema)
Ahhaaa
Wa neema (Wa neema)
Ahaaaa.
Wa neema (Wa neema)
Ahhaaa (Heeeeyy)

Maana umenipa
Nafasi nyingine (Heeeey)
Kweli umenipa
Nafasi nyingine (Mimi nisiyestahili)
Umenipa
Nafasi nyingine (Heeeey)
Bwana umenipa
Nafasi nyingine

Mungu wa neema (Wa neema)
Aaahh… (Aaahh)
Wa neema (Heeeey Wa neema)
Aaahh (Nashukuru Asante)
Neema (Wa neema)
Aaaah.
Wa neema

Joel Lwaga – Nafasi Nyingine

By admin

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *